Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Makala Maalum

Miaka 58 ya sauti, migongano na makali ya TEC, serikali

AGOSTI 10, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan aliketi mezani Ikulu ya Chamwino, Dodoma pamoja na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Jumatatu, 17 Agosti 2026 · 10:15Dakika 19 kusomaToleo 178, uk. 12–20

Picha zikatoka. Taarifa ya Ikulu ikasema mazungumzo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya serikali na TEC, kujadili masuala ya kisiasa, imani na maendeleo, na kuimarisha amani, mshikamano na mustakabali wa taifa.

Katika kikao chao, Rais Samia akawashukuru maaskofu na kuahidi kuendeleza utamaduni wa kushauriana na viongozi wa dini.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia