Uchambuzi
Kuondoka Nchimbi kwafungua maswali magumu zaidi
MATUKIO ya kujiuzulu na kufukuzwa kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi yameacha gumzo kubwa kitaifa, na yameongeza sura katika kitabu cha uongozi wa nchi, hasa wanapojadiliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania tangu Abeid Karume hadi Deo Ndejembi.
Lakini historia haitamkumbuka Nchimbi kwa sababu tu alikuwa makamu wa rais aliyejiuzulu. Itamkumbuka zaidi kwa mazingira ya kuondoka kwake.
Alitangaza kujiuzulu Agosti 25, 2026, akisema angeondoka rasmi Septemba 4. Rais Samia Suluhu Hassan akakubali. Siku iliyofuata, kabla hata tarehe hiyo haijafika, CCM ikamfukuza uanachama kwa madai ya kukiuka Katiba, kanuni, maadili na nidhamu ya chama.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa